sala ya kutafuta kitu kilichopotea mt.antoni
Ee Mtakatifu Antoni wa Padua,/ uliye mpole kati ya watakatifu wote./ Upendo wako kwa Mungu na kwa binadamu/ wakati ulipoishi hapa duniani,/ umetustahilia uwezo wa kutenda miujiza mingi/ kwa ajili ya wale wenye shida./ Kwa hiyo sisi pia/ tunapata moyo wa kukimbilia kwako/ na kuomba msaada wako. Labda ombi letu haliwezi kutimizwa bila mwujiza!/ Hata hivyo huitwi Mtakatifu wa miujiza?/ Kwa hiyo Mtakatifu Antoni wa Padua mwenye upole/ na huruma sana kwa watu wenye shida, / sikiliza maombi yetu/ na kuyapeleka mbele ya Mtoto Yesu/ aliyependa kukaa mikononi mwako./ Nasi tutakuonyesha shukrani kubwa katika maisha yetu yote. / Amina.
Ingiza maoni yako...Nakusifu nakuheshimu nakuomba unifunulie kwa mwanga wa Roho Mtakatifu ili nipate kuiona hati ya nyumba ya ngu popote pale ilipo naomba kwa jina la Yesu Kristu aliyehai na kutawala naMuumba wetu Mungu baba Amina
JibuFutaEe mtakatifu Anton wa padua,ninakuomba unisadie kutoa uchungu nilionao moyoni kwa yule mtu aloingia ndani na kuchukua kila kitu na kuniacha mimi na familia yangu tunahangaika,naomba unirejeshee vitu vyote alivyovichukia,ninakuomba kwa Imani unisaidie.
FutaEe Mtakatifu Anthony wa Padua uliye mpole na mwombezi wetu unayerudisha vitu vilivyopotea naomba niweze kupata cheti changu original cha chuo kikuu pamoja na transcript yane. Tunaomba hayo kwa njia ya Kristo Bwana weti Amina
FutaMaoni haya yameondolewa na mwandishi.
FutaNam wombat mt.antoni anijalie baraka na neema za upatikanaji funguo za gari za kazi zangu Kartika jina la Yesu Kristin Amen
JibuFutaNam wombat mt.antoni anijalie baraka na neema za upatikanaji funguo za gari za kazi zangu Kartika jina la Yesu Kristin Amen
JibuFutaJane Almasi ninakuomba we my Anton wa Padua unisaidie nipate mume wakufunga nae Ndoa na piaunirudishie afya yangu uniponye pressure inayonisumbua iwe normal na umponye mwanangu Grace swaumu ugonjwa Inasababisha kuanguka nakupoteza fahamu pia unisaidie Joyce Almasi apewe haki ya nyumba wanayogombania na God na mzee Jobdon Ndegeulaya wasimdhulumu,Amina
FutaRegina ludovick
FutaMtakatifu antony nisaidie nipate ela zang za mkopo niliiomba kwa muda mrefu. Amina
Mtakatifu Antony nakuomba umsaidie mwenzangu aipate nyaraka aliyoipoteza ofisini kwake. Amina
FutaAnthony wa padua nisaidie nione nilipoweka fedha zangu Amen
JibuFutaEe mt antony wa padua,uliye mpole kuliko watakatifu wote naomba unijalie niuone ufunguo wa nyumbaamina
JibuFutaEeh Mt Antoni wa Padua naomba unijalie nikaweze kupata vyeti vyangu vya chuo na kidato cha nne vilivyopotea.
JibuFutaNisaidie niweze kuona fedha zangu zilizopotea/kuchukuliwa na mtu ambaye sijamtambua bado..naomba sana ee Mt.Anton usiache peke yangu lichukue ombi langu na ulifikishe kweli kwa Mungu aliye nguvu na msaada wetu daima.
JibuFutaKaulaGlory
FutaNaomba nisaidie kupata utashi katika kuongoza idara yangu kazini kwa umakini na umahiri zaidi
JibuFutaNaomba mtoto wangu apate chuo kikuu ambacho kina masomo anayotaka kusomea an afaulu kwa nafasi ya juu
JibuFutanaomba niweze kupata malipo yangu ya pesa ninazodai chuo cha veta ambayo yamekaa siku nyingi hadi sasa miezi 5 na nimekwama kibiashara
JibuFutaEeeeh mtakatifu Antoni naomba unisaidie nipate mume mzungu
JibuFutaEe Mtakatifu Antoni wa Padua ninakuomba unisaidie niweze kulipwa mafao yangu ya liyokwama kwa muda mrefu.ulipele ombi langu kwa Bwana Yesu Kristu mfufuka. Amina.
JibuFutaMtakatifu Antoni kwa maombezi yako nijalie kupata vifuatavyo jalada la usajili wa gari yangu Nissan na miwani ya macho na fumguo wa pikipiki ya mtoto wangu katika jina kubwa la Yesu Kristu amen
JibuFutaEe mtakatifu Atony wa padua naomba mtu anayeninyanyapaa kwa ugonjwa wa pressure nilio nao kuwa na afya mgogoro nae ugonjwa huo umpate maana mtu anayejiombea ugonjwa ila magonjwa yanaletwa na ibilisi shetani Mungu wa mbinguni anapenda watu wake tuwe na afya tele amina jibu
JibuFutaMt antony wewe nikimbilio langu kubwa ktk maisha yangu hitaji langu walijua umekuwa mwongozo mkubwa wa maisha yangu ,kimbilio langu baba naitaji sasa ubadilishe tena kwa upya maisha yangu ,nirudishie furaha yangu nifute machozi naamini unakwenda kunijibu sasa nakuonekana kwa upya ktk maisha yangu amen
JibuFutaMt.Anthony naomba unisaidie nipate begi langu nimepoteza Amina
JibuFutaEe Mtakatifu Yuda wa Padua naomba unisadie serikali inilipe pesa zangu za uhamisho walizonipigia vibaya nipatr haki yangu kama wenzangu Amina
JibuFutaEe Mtakatifu Antony wa Padua naomba unifanyie miujiza nilipwe pesa zoye ninazoidai serikali ambazo ni halali na jasho langu muujiza ukafanyike nilipwe staili zangu zote za makato ya mshahara uhamisho na kazi za ziada ambazo nimefanya na hawajanilipa Amen
JibuFutanaomba niongezewe mshahara uwe laki 8 amina
JibuFutaEe mtakatifu somo yangu naomba njalie kupitia kwa mwana wa mwenyezi mungu niopate kuuishwa katika kazi yangu ukanipe maarifa na upeo wakupembua mambo unipe busara ya kuiongoza familia yangu na ukatupynguzie mateso katika koo zetu ili tuweze kuishi kama ulivoishi wew maisha mazuri na yakumpendeza MUNGU tunaomba hayo kwa njia ya yesu kristo amina
JibuFutaEe mtakatifu Antony nakuomba unisaidie ukiona computer na simu yangu vilivyopotea chuoni naomba hayo kwa njia ya kristu bwana wetu amina
JibuFutaEe Mtakatifu Anton wa Padua naomba kupitia kwako serikali onilipe stahili zote za madeni yote ninayodai kihalali ili niweze kununua kiwanja na kujenga nyumba ya kuishi mimi na wanangu nakuamini kwa miujiza mingi uliyonitendea kupitia Yesu kristo Bwana na Mwokozi wetu aliyekufa pale Msalabani kwa ajili ya kuokoa Ulimwengu na watu wake dhidi ya Ibilisi Shetani Amina.
JibuFutaEe Mt Anton wa Padua naomba uinusuru ndoa yangu ambayo inaangamia toka mwaka 2012 naishi bila familia na kupambana na changamoto nyingi sana naomba kupitia Roho Mtakatifu ukaniombee nipate kuishi maisha ya ndoa na pia maisha ya kumpendeza Mungu na wanadamu Amina
JibuFutaMt.Anthony wa padua.nakuomba niombee kwa mungu mwenyezi kupitia miujiza yako.niweze pata kazi tena pengine iwe nzuri kuliko ya mwanzo.pia suala langu lililoko mahakamani ulisimamie liweze kumalizika mapema
JibuFutaMt anthon wa padua.simamia maisha yangu hapa ugenini ili malengo na matarajio yangu yaweze timia katika muda sahihi
JibuFutaMt.anthony wa padua.niombee na kuniaongoza katika maisha yangu ya ugenini ili nikate tamaa na nipate mafa ikio makubwa katika siku. Chache zijazo
JibuFutaEwe mtakatifu Antoni wa Padua. Nijalie afya njema ya kwangu, familia yangu, wazazi wangu na kumponya mama yangu aliyeungua na maji ya moto pamoja na kuvipata vifaa vya backery vilivyopotea.
JibuFutaMtakatifu Anthony wa Padua sisi kizazi cha Mzee Ngaseku tunakuomba utusaidie tuweze kumpata ndugu yetu aliyepotea (Mtoto wa Isidory) William Ndekariwamba. Tuweze kumpata akiwa hai na afya njema AMINA
JibuFutaMaoni haya yameondolewa na mwandishi.
JibuFutaEe mtakatifu Anthony wa Padua..niombee nipokee muujiza wangu wa ajira kama meneja wa ofisi ya kanda ya ziwa niliyoahidiwa Leo...nami nikayatangaze matendo yako makuu dunia ikufahamu na likuomba.
JibuFutaEewe Mt Anthony wa padua nisaidie kuniombea kwa mwenyenzi Mungu ( mzingo wa filter ) nilizo tuma niweze kulipwa pesa yote, na (kiwanja nilio zurumiwa) niweze kurudishiwa pesa yangu,amin
JibuFutaMtakakatifu anthony wa padua naombaa unisaidiee nionee nilipo weka vyeti vyangu
JibuFutaNaomba unsaidie niweze kulipwa pesa zangu za korosho.pia naomba umponye mjukuu wangu Alex .na umponye na mume wangu irambe .kisukari na macho
JibuFutaIngiza maoni yako...Ee Mt Antony wa padua nakushukuru kwa miujiza yote unayonifanyia Amina
JibuFutaIngiza maoni yako...Ee Mt Antony wa padua naomba nipate mtu ambaye ana shida aniuzie kiwanja maeneo ya kitunda karibu na kazini niweeshe pia nipate pesa nyingi nijenge nyumba yangu naomba maombi yangu uyafikishe kwa mtoto yesu na ufanyike muujiza ambao kupitia muujiza nitaendelea kutangaza miujiza yako mbele za macho ya wanadam amina
JibuFutaIngiza maoni yako...Mt Anton wa Padua naomba usiku huu nipate pesa nimnunulie mwanangu viatu vya shule Amen
JibuFutaIngiza maoni yako...ee mt atony padua naomba yale yote ninayokuomba yakafanyike kwa muujiza usiku wa leo na wiki hii Amen
JibuFutaIngiza maoni yako...ee mt atony padua naomba yale yote ninayokuomba yakafanyike kwa muujiza usiku wa leo na wiki hii Amen
JibuFutaIngiza maoni yako...Nakushukuru Mt Antony wa Padua kwa miujiza unayonitendea naomba uendelee kunibariki mimi na watoto wangu nipate riziki za kuwahudumia Amina
JibuFutaIngiza maoni yako...Mt Antony wa padua nakushukuru kwa maombezi yako ya kuniombea kwa mtoto yesu endelea kunitendea miujiza kadiri ya maombezi yangu ninayokuomba kila siku ambaye naona miujiza yake Amen
JibuFutaMt Antony wa padua wewe ni kimbilio la shida zetu na muombezi wa yote tunayokuomba kwa mtoto Yesu naimba uendelee kunifanyia miujiza kwa ysle maombi yote ninayokuomba unifanyie Anina
JibuFutaee mt anton wa padua naendelea kushukuru kiimani kwa miujiza mikubwa unayinitendea naomba yale maombi yote ninayokuomba kupitia kwa rafiki yako mprndwa mtoto yesu anaenda kuzaliwa katika kipindi hiki cha majiliobyakaoate baraka na kibali miujiza hiyi ikapate kutimia Amina
JibuFutaMtakatifu Antony wa Padua nina mapito mengi na magumu sana naomba unisaidie niweze kupita katika pito hili gumu ambalo linaumiza na kusononesha nafsi yangu. Ninajua wewe kupitia kwa mungu wetu Yesu kristo naamini pito hili litapita. Naomba sana sana maombi yangu yawafikie nikiamini maombi yangu yatajibiwa. Amina
JibuFutaMtakatifu Antony, nakuomba unisaidie kuyapita mapito yanayoniandama na kunisononesha sana. nakuomba utujalie upendo na kujaliana na wafanyakazi wenzangu ili tuweze kufanya kazi kwa umoja na upendo ustawi. Amina
FutaMtakatifu Antony wa Padua...Nina mapito mengi na mazito...naomba kwa utii na unyenyekevu niweze kupata pesa zangu nilizopoteza ..Naamini maombi yangu yatajibiwa...Amina
JibuFutaEe mt. Anthony wa padua naomba uniombee kwa Yesu Kristu magumu yote niliyonayo ambayo nakuomba katika novena hii. Uniinue, unisaidie katika mwaka. Naamini Mungu ataniinua katika safari yangu. Amina
JibuFutaNakusifu nakuheshimu nakuomba mt.Anton wa Padua unirudishie milioni kumi ambazo nataka kuzurumiwa na mtu ninaefanya nae bihashara,naomba kwa jina la Yesu Kristu wa Nazareti mwana wa Mungu aliye hai.
JibuFutaNakusifu nakuheshimu nakuomba mt.Antoni wa Padua unirudishie milioni kumi ambazo nataka kuzurumiwa na mtu ninaefanya nae bihashara,naomba kwa jina la Yesu Kristu wa Nazareti mwana wa Mungu aliye hai.Amina
FutaEe mtakatifu wa padua nakuomba urudishe furaha ya dadaangu sabrina na usaidie afya ya mtoto wake parlyn iwenzuri na apone kabisa amen
JibuFutaEek mtakatifu wa Padua nakuomba unioneshe el yang ilipo iweka amen
JibuFutaEe mtakatifu Padua nakuomba unisaidie kufanikisha ndoto yang au talent yang nipate kazi niwez kufanikisha ndoto yang man we nikimbilio letu na ulinde family zangu upon na mdogo wang ezekieli amen
JibuFutaMt Anthony tuepushe na janga la gonjwa hili la corona
JibuFutaMt. Antony nisaidie kunikumbusha yale yote yaliyo sahihi katika interview yangu ya nafasi ya kazi nlioomba niweze fanya vizuri na kuipata nafasi hiyo ya kazi na hatimaye nilihudumie kanisa lako
JibuFutaEe mtakatifu anton wa padua naendelea kumshukuru Yesu mfufuka kwa kunionekania na kunitoa pepo la ulevi naomba yale maombi yote niliyoomba mwezi huu nikafanyiziwe Amina
JibuFutaMaombi yangu yote yakatimie AMEN
JibuFutaNiseme nini antony wa padua, sina la kusema baba zaidi ya asante kwa jinsi ulivyodhihirika kayika maisha yangu nilikuomba sana antony na mwaka huu umejidhihirisha nasema asante, nawakumbusha pia ata wengine unapo omba pia weka na ahadi mbele za mungu , mungu akawii wala ahelewi wakati unapofika hujibu mimi nimemuomba tangu mwaka juzi na sasa nimepokea nilichikuwa naitaji na ahadi yangu niliyoiyaidi nakwenda kuitimiza mbele za mungu, ndg tuombe bila kukata tamaa
JibuFutaMt Antony wa Padua naomba unisaidie niweze kupata yote niyaombayo na pia naomba nipate kibali cha kukubalika kila mahali na kila ninachogusa na kukifanya kikafanikiwe na kustawi
JibuFutaMt Antony wa Padua naomba unisaidie niolewe natamani kuwa na familia sasa
JibuFutaMt. Antony wa Padua naomba baraka katika kazi ya mikono yangu baraka katika ndoa yangu...niwe mtu wa kujitoa kwa wahitaji katika mafanikio utakayo nipa
JibuFutaWe my Antoni wa Padua nikumbushe namba ya Siri ya faili langu muhimu nimesahau nisaidie hima nakutegemea wewe
JibuFutaMtakatifu Antoni naomba unijalie nipate Kibati cha kukubalika kwa chochote nikifanyacho kwa manufaa ya nchi na kanisa lako amina
JibuFutaEe mtakatifu Antony wa padua nijalie afya njema na bidii darasan
JibuFutaEe mtakatifu Anton wa Padua ninakuomba ukanifanyie muujiza nipate pesa za ada za watoto wangu tano na pesa ya kumtunza mtoto wangu mdogo wa sita,naamini nitapita muujiza wangu kwa jina la Yesu lipitalo majina yote na muujiza wang naupata mwezi huu wa sita AMEN
JibuFutaEe mt Anton wa Padua nakushukuru kwa miujiza yote ambayo Mungu amenitendea AMEN
JibuFutaEe mt.Anton wa Padua nakuomba unisaidie kumrudisha yule mwizi alochukua vitu vyangu ndani ya nyumba na kunifanya mimi na watoto wangu na familia yote tuhadhirike,nakuomba unisaidie virudi ili nipate pumziko la moyo maana ninasononeka sana,nina imani utanisaidia, niombee kwa Yesu mfufuka anisaidie naadhirika sana Amina.
JibuFutaNina Imani utanisaidia Mt.Anton naumia sana moyoni sina kitu chochote sasa vitu muhimu vyote kachukua,arudishe vyeti vyangu vitambulisho vya kazi,nguo za wanangu na za kwangu, asset zote,vitu vyote vya thamani vya nyumba yote arudishe.
JibuFutaMt Antony wa Padua niombee nami nipate pesa zilizopotea nami nitasimulia makuu ya Mungu amina
JibuFutaEeh Mtakatifu Anthony wa Padua, naomba uturejeshee Amani, Upendo, Afya njema na mafanikio katika familia yetu. Pia ukaingie mioyoni mwetu hasa watoto wetu wawe na hofu ya Mungu, kumjua na kupenda kumtumikia Mungu. Ukamtulize mtoto wetu na umrudishe nyumbani salama na ukafunge mizimu ama kama kuna laana za kurithi ndani yake zikashindwe na nitafungia mizimu yote ndani ya Moto wa Jehenamu mpaka siku ya mwisho ya hukumu yako. Napokeo yote Kwa jina la Yesu Kristu...Amina!
JibuFutaMtakatifu Antony nakuomba uniombee kwa Mungu uamponye mwanangu Deogratias, pia kea maombezi yako nisaidie nipate kazi.
JibuFutaEe Mt. Antony naomba uniombee kwa Mungu anirejeshee pesa iliyopotea na afya njema kwa kutuponya magonjwa yatusumbuayo mimi na watoto wangu. Amina.
JibuFutaEee mtakatifu Antony ninaomba unijalie niweze kupata kazi ambayo nimeiomba hivi karibuni Amen.
JibuFutaEee mtakatifu Antony ninaomba mchumba wangu Loveness aweze kupata nafuu
JibuFutana kupona haraka kwa maradhi yanayomsumbua Amen
Ewe Mt. Anthony wa Padua. Naomba unisaidie niweze kupata cheti changu cha Masters na kadi yangu ya NHIF.
JibuFutaMtakatifu Antoni wa Padua nisaidie kutafuta vyeti vyangu vya form four vilivyo potea nisadie nivipate niombee kwa mtoto Yesu huruma ilivipatikane wazazi wangu na Mimi pia tuwe na Amani. Amina
JibuFutaNina ahidi kukushukuru na kusimulia makuu yako nisadie nivipate vyeti.Amina
JibuFutaKwa maombezi yako ee mt.Anton wa padua naomba ukarejeshe afya yangu nikaweze kupona kabisa mguu wangu unaonisumbua na vidonda vya tumbo naamin Mungu wetu ni mwaminifu atanitendea sawasawa na mapenzi yake .amina
JibuFutaEe Mt.Anthony wa Pedua nakushukuru sana kwa Baraka zako ktk Maisha yangu.Kweli nimeuona mkono wa Mungu.Endelea kunijalia mafanikio ya afya na baraka na niwakumbuke wahitaji kwa baraka ninazo pokea.Amina.
JibuFutaEe Mungu kwa maombezi ya Mt.Anthony wa Padua naomba unisaidie kupata nguo zangu zilizopotea .
JibuFutaEe Mungu kwa maombezi ya Mt. Anthony was Padua naomba unisaidie nifaulu mitihani yang, na pia nipate ela ya Kodi kabla ya tarehe 27
JibuFutaWe Mungu kwa maombezi ya Mt. Anthony wa Padua naomba unisaidie nipate ela ambayo ni 2.7m, ili niwasaidie marafik zangu kweny ulipaji wa Ada, naomb miujiz yak kabla ya jumatatu, na ela ya Kodi imaliziwe kabla ya tarehe 14.
JibuFutaEe Mungu nakuomba unikumbuke katika shinda zangu zote kupitia maombezi ya Mt. Anthony wa Padua, kupitia kwa mwanao Yesu Kristu.
JibuFutaEe mtakatifu Antony wa padua ni miujiza mingi umenitendea kupitia maombi yangu mbalimbali ninayokuomba ,,naomba nikalipwe madeni yote ambayo yanafanyiwa uhakiki mwaka wa fedha 2018/2019 kwa imani ninaenda kupokea muujiza wangu na,wote wanaokuomba kupitia mtoto Yesu Amina
JibuFutaEe mt Antony wa padua naommba kwa unyenyekevu mkubwa kila lilo dai langu la haki nikapate kibali cha kulipwa ,mwezi ujao wa kumi ukawe muujiza na kibali kikapatwe kutolewa na kwa damu ya Yesu ,,muujiza unaenda kunionekania na pesa hiyo nitajenga nyumba yangu hapa kitunda Dar na damu ya Yesu itaenda kuifunika nyumba hiyo na kila hila za sihitaji,ibilisi,,wafitini na wachawi na kwa jina la Yesu jina lipitalo majina yote ninaenda kupokea muujiza wangu kiuchumi ,napokea kwa jina la Yesu ,napokea kibali cha uchumi wangu kuimarika mwezi huu wa kumi ,,na kila baraka za afya,kiuchumi zitanizunguka siku zote za maisha yangu na wanangu nawaombea kibali cha kuwa vichwa na siyo mapooza wala kuwa mkia nawaombea wanangu saba kibali cha hekima ,akili na uchaji na kubarikiwa wakampendeze Mungu na wanadamu,nawafunika kwa damu ya Yesu ,,nawakinga na moto wa roho mtakatifu mt Antony wa padua utuombee AMEN
JibuFutaEe mtakatifu antony wa padua naomba ulinzi kwa wanangu saba ,Doreen,screen,omega,Frank,angel,derick,raymond,Daniel,na Elizabeth,,naomba ulinzi wa damu ya Yesu uwakinge na kila pepo wabaya,mapooza,umaskini,mizimu ya mababu,roho za uzinzi,ukahaba ulevi,uvivu,nawaombea kibali chakuwa vichwa na wasiwe mkia nawafunika kwa damu yayesu
JibuFutaEe Mtakatifu antoni wa padua mwenye kuonea huruma watu wanateseka ninakuomba unisaidie niweze kupata vitu vyangu vyote vilivyoibiwa . Mtakatifu Padua uliyependa kumbeba mtoto Yesu ninakuomba uniombee maana namtegemea Mungu pekeee sina mwingine maana unajua jinsi hivyo vitu vilivyo muhimu kwenye maisha yangu.ninaomba hayo kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristu,Amina
JibuFutaEe mtakatifu antoni wa padua, nisaidie niwa na maandalizi mazuri kwa ajili ya mitihani iliopo mbele yangu,ili niweze kufanya vizuri, ninaomba nakuamini, AMINA.
JibuFutaMtakatifu Anton nakuomba sana nisaidie nirudi kwenye biashara yangu pia fungua milango ya fedha kwa mwenzangu Rashid akafanikiwe katika mipango yake yote anayosubiri...Naomba na kushukuru katika jina la Yesu Kristo Amen.
JibuFutaMtakatifu Anton wa padua naomba uniombee kwa mtoto Yesu mwaka huu 2021 nikamiliki fedha na dhahabu pia niwe na afya njema mimi na familia yangu. Niondokane na umasikini kabisa.Naomba na kuamini katika jina la yesu.Amen
JibuFutaMaoni haya yameondolewa na mwandishi.
FutaNaomba nisaidie nipate kazi na poa mwenzangu Rashid alipwe pesa anazodai Uganda na hapa Tanzania.Amen
JibuFutaEww Mtakatifu Antoni wa padua naomba unisaidie niione funguo ya chumba cha rafiki angu niliyopoteza mchana huu!
JibuFutaAsante sana Mtakatifu Antoni kwa kuwa nimeupata ufunguo wangu sasa!
FutaImani kubwa juu ya maombi ya sala yako ee mtakatifu Antony wa padua naomba nikuone kadi yangu ya benki
JibuFutaMaoni haya yameondolewa na mwandishi.
JibuFutaMtakatifu Antony wa Padua naomba kurudishwa kwa ardhi yet iliyochukuliwa na jumuiya ya wazazi chuo Cha ufundi Gera
JibuFutaWe Mtakatifu Antoni wa padudua nisaidie nipate Ajira katika vituo nilivyo omba na ambavyo sijaomba kazi mwezi huu wa Saba 2021.Amina.
JibuFutaEh Mtakatifu Antony wa Padua nisadie nishinde kesi ya kuonewa kudhulumiwa kiwanja changu. Amina
JibuFutaEeh Mtakatifu Anthony wa Padua naomba unisaidie niweze kupata cheti changu cha kuzaliwa na cheti changu cha form four. Amina
JibuFutaMt.Antony niombee kwa Bwana wetu Yesu Christo ulinzi wa Roho ,mwili na vitu katika familia yangu.mipango yote ya adui ishindwe.
JibuFutaMt. Antony niombee Mimi na familia yangu ili tuweze kuondokana na roho chafu zinazotufata na kutaka kutuangamiza tusifikie ahadi ya Mungu, pia utuombee tuishi kwa upendo Kati yetu na majirani zetu Amina
JibuFutaNisaidie niweze kuona fedha zangu zilizopotea/kuchukuliwa na mtu ambaye sijamtambua bado..naomba sana ee Mt.Anton usiache peke yangu lichukue ombi langu na ulifikishe kweli kwa Mungu aliye nguvu na msaada wetu daima.
JibuFutaJibu
we mtakatifu Anton wa Padua nijalie ombi langu katika familia yangu nikiamini wewe hutenda miujiza mingi. Amin
JibuFutaEeeh mt. ANTONY WA PADUA, UNIOMBEE KWA YESU MWENYEWE NIWEZE KUPATA VITU VYOTE NILIVYOIBIWA NYUMBANI KWANGU USIKU VIKIWEMO SIMU NA KOMPUTER .LAKIN UMJALIE LEO MPENZI WANGU RENATUS AWEZE KUFANYA USAHILI WAKE VIZURI NA KUPATA AJIRA HIYO.
JibuFutaEh Mt. Anthony wa paunda ninaomba kupitia jina la Yesu kristo aliye hai ninaomba uniombee miujiza utendeka katika familia yangu ili fedha zote nilizodhurumiwa ziweze kurudi pia pesa zote zilizopotea katika biashara ziweze kurudi na uchumi wangu uweze kukua ili niweze kulipa madeni ya watu na nibaki salama amin
JibuFutaEhhe Mungu wangu, kupitia kwa mtakatifu wako , Anthony wa Padua naomba nipate daftari la mauzo la mteja wangu nililopoteza kwenye daladala la Nyasaka center jana usiku, kwani linamahesabu yake na wadeni wake ndani, naomba unisaidie nilipate Amen
JibuFutaMt. Antony wa padua nakuomba unipatie kibali kazini kwangu nipandishwe cheo kirahisi na naomba nilipwe msharaha wangu kirahisi na nipate mme mwema EE Mungu nisaidie kurejesha furaha yangu na upendo kwa ndugu zangu, familia na wengine naamini Mt. wa padua ananisaidia
JibuFutaEe Mtakatifu Anthony wa Padua nakuomba unisaidie kupata pikipiki yangu iliyoibiwa maana umewasaidia wengi katika mambo magumu na mimi naomba msaada wako.Amina
JibuFuta