Ee Mtakatifu Antoni wa Padua,/ uliye mpole kati ya watakatifu wote./ Upendo wako kwa Mungu na kwa binadamu/ wakati ulipoishi hapa duniani,/ umetustahilia uwezo wa kutenda miujiza mingi/ kwa ajili ya wale wenye shida./ Kwa hiyo sisi pia/ tunapata moyo wa kukimbilia kwako/ na kuomba msaada wako. Labda ombi letu haliwezi kutimizwa bila mwujiza!/ Hata hivyo huitwi Mtakatifu wa miujiza?/ Kwa hiyo Mtakatifu Antoni wa Padua mwenye upole/ na huruma sana kwa watu wenye shida, / sikiliza maombi yetu/ na kuyapeleka mbele ya Mtoto Yesu/ aliyependa kukaa mikononi mwako./ Nasi tutakuonyesha shukrani kubwa katika maisha yetu yote. / Amina.                                          
Next
This is the most recent post.
Previous
Taarifa za zamani

114 maoni:

  1. Ingiza maoni yako...Nakusifu nakuheshimu nakuomba unifunulie kwa mwanga wa Roho Mtakatifu ili nipate kuiona hati ya nyumba ya ngu popote pale ilipo naomba kwa jina la Yesu Kristu aliyehai na kutawala naMuumba wetu Mungu baba Amina

    JibuFuta
    Majibu
    1. Ee mtakatifu Anton wa padua,ninakuomba unisadie kutoa uchungu nilionao moyoni kwa yule mtu aloingia ndani na kuchukua kila kitu na kuniacha mimi na familia yangu tunahangaika,naomba unirejeshee vitu vyote alivyovichukia,ninakuomba kwa Imani unisaidie.

      Futa
    2. Ee Mtakatifu Anthony wa Padua uliye mpole na mwombezi wetu unayerudisha vitu vilivyopotea naomba niweze kupata cheti changu original cha chuo kikuu pamoja na transcript yane. Tunaomba hayo kwa njia ya Kristo Bwana weti Amina

      Futa
    3. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

      Futa
  2. Nam wombat mt.antoni anijalie baraka na neema za upatikanaji funguo za gari za kazi zangu Kartika jina la Yesu Kristin Amen

    JibuFuta
  3. Nam wombat mt.antoni anijalie baraka na neema za upatikanaji funguo za gari za kazi zangu Kartika jina la Yesu Kristin Amen

    JibuFuta
    Majibu
    1. Jane Almasi ninakuomba we my Anton wa Padua unisaidie nipate mume wakufunga nae Ndoa na piaunirudishie afya yangu uniponye pressure inayonisumbua iwe normal na umponye mwanangu Grace swaumu ugonjwa Inasababisha kuanguka nakupoteza fahamu pia unisaidie Joyce Almasi apewe haki ya nyumba wanayogombania na God na mzee Jobdon Ndegeulaya wasimdhulumu,Amina

      Futa
    2. Regina ludovick
      Mtakatifu antony nisaidie nipate ela zang za mkopo niliiomba kwa muda mrefu. Amina

      Futa
    3. Mtakatifu Antony nakuomba umsaidie mwenzangu aipate nyaraka aliyoipoteza ofisini kwake. Amina

      Futa
  4. Anthony wa padua nisaidie nione nilipoweka fedha zangu Amen

    JibuFuta
  5. Ee mt antony wa padua,uliye mpole kuliko watakatifu wote naomba unijalie niuone ufunguo wa nyumbaamina

    JibuFuta
  6. Eeh Mt Antoni wa Padua naomba unijalie nikaweze kupata vyeti vyangu vya chuo na kidato cha nne vilivyopotea.

    JibuFuta
  7. Nisaidie niweze kuona fedha zangu zilizopotea/kuchukuliwa na mtu ambaye sijamtambua bado..naomba sana ee Mt.Anton usiache peke yangu lichukue ombi langu na ulifikishe kweli kwa Mungu aliye nguvu na msaada wetu daima.

    JibuFuta
  8. Naomba nisaidie kupata utashi katika kuongoza idara yangu kazini kwa umakini na umahiri zaidi

    JibuFuta
  9. Naomba mtoto wangu apate chuo kikuu ambacho kina masomo anayotaka kusomea an afaulu kwa nafasi ya juu

    JibuFuta
  10. naomba niweze kupata malipo yangu ya pesa ninazodai chuo cha veta ambayo yamekaa siku nyingi hadi sasa miezi 5 na nimekwama kibiashara

    JibuFuta
  11. Eeeeh mtakatifu Antoni naomba unisaidie nipate mume mzungu

    JibuFuta
  12. Ee Mtakatifu Antoni wa Padua ninakuomba unisaidie niweze kulipwa mafao yangu ya liyokwama kwa muda mrefu.ulipele ombi langu kwa Bwana Yesu Kristu mfufuka. Amina.

    JibuFuta
  13. Mtakatifu Antoni kwa maombezi yako nijalie kupata vifuatavyo jalada la usajili wa gari yangu Nissan na miwani ya macho na fumguo wa pikipiki ya mtoto wangu katika jina kubwa la Yesu Kristu amen

    JibuFuta
  14. Ee mtakatifu Atony wa padua naomba mtu anayeninyanyapaa kwa ugonjwa wa pressure nilio nao kuwa na afya mgogoro nae ugonjwa huo umpate maana mtu anayejiombea ugonjwa ila magonjwa yanaletwa na ibilisi shetani Mungu wa mbinguni anapenda watu wake tuwe na afya tele amina jibu

    JibuFuta
  15. Mt antony wewe nikimbilio langu kubwa ktk maisha yangu hitaji langu walijua umekuwa mwongozo mkubwa wa maisha yangu ,kimbilio langu baba naitaji sasa ubadilishe tena kwa upya maisha yangu ,nirudishie furaha yangu nifute machozi naamini unakwenda kunijibu sasa nakuonekana kwa upya ktk maisha yangu amen

    JibuFuta
  16. Mt.Anthony naomba unisaidie nipate begi langu nimepoteza Amina

    JibuFuta
  17. Ee Mtakatifu Yuda wa Padua naomba unisadie serikali inilipe pesa zangu za uhamisho walizonipigia vibaya nipatr haki yangu kama wenzangu Amina

    JibuFuta
  18. Ee Mtakatifu Antony wa Padua naomba unifanyie miujiza nilipwe pesa zoye ninazoidai serikali ambazo ni halali na jasho langu muujiza ukafanyike nilipwe staili zangu zote za makato ya mshahara uhamisho na kazi za ziada ambazo nimefanya na hawajanilipa Amen

    JibuFuta
  19. naomba niongezewe mshahara uwe laki 8 amina




    JibuFuta
  20. Ee mtakatifu somo yangu naomba njalie kupitia kwa mwana wa mwenyezi mungu niopate kuuishwa katika kazi yangu ukanipe maarifa na upeo wakupembua mambo unipe busara ya kuiongoza familia yangu na ukatupynguzie mateso katika koo zetu ili tuweze kuishi kama ulivoishi wew maisha mazuri na yakumpendeza MUNGU tunaomba hayo kwa njia ya yesu kristo amina

    JibuFuta
  21. Ee mtakatifu Antony nakuomba unisaidie ukiona computer na simu yangu vilivyopotea chuoni naomba hayo kwa njia ya kristu bwana wetu amina

    JibuFuta
  22. Ee Mtakatifu Anton wa Padua naomba kupitia kwako serikali onilipe stahili zote za madeni yote ninayodai kihalali ili niweze kununua kiwanja na kujenga nyumba ya kuishi mimi na wanangu nakuamini kwa miujiza mingi uliyonitendea kupitia Yesu kristo Bwana na Mwokozi wetu aliyekufa pale Msalabani kwa ajili ya kuokoa Ulimwengu na watu wake dhidi ya Ibilisi Shetani Amina.

    JibuFuta
  23. Ee Mt Anton wa Padua naomba uinusuru ndoa yangu ambayo inaangamia toka mwaka 2012 naishi bila familia na kupambana na changamoto nyingi sana naomba kupitia Roho Mtakatifu ukaniombee nipate kuishi maisha ya ndoa na pia maisha ya kumpendeza Mungu na wanadamu Amina

    JibuFuta
  24. Mt.Anthony wa padua.nakuomba niombee kwa mungu mwenyezi kupitia miujiza yako.niweze pata kazi tena pengine iwe nzuri kuliko ya mwanzo.pia suala langu lililoko mahakamani ulisimamie liweze kumalizika mapema

    JibuFuta
  25. Mt anthon wa padua.simamia maisha yangu hapa ugenini ili malengo na matarajio yangu yaweze timia katika muda sahihi

    JibuFuta
  26. Mt.anthony wa padua.niombee na kuniaongoza katika maisha yangu ya ugenini ili nikate tamaa na nipate mafa ikio makubwa katika siku. Chache zijazo

    JibuFuta
  27. Ewe mtakatifu Antoni wa Padua. Nijalie afya njema ya kwangu, familia yangu, wazazi wangu na kumponya mama yangu aliyeungua na maji ya moto pamoja na kuvipata vifaa vya backery vilivyopotea.

    JibuFuta
  28. Mtakatifu Anthony wa Padua sisi kizazi cha Mzee Ngaseku tunakuomba utusaidie tuweze kumpata ndugu yetu aliyepotea (Mtoto wa Isidory) William Ndekariwamba. Tuweze kumpata akiwa hai na afya njema AMINA

    JibuFuta
  29. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta
  30. Ee mtakatifu Anthony wa Padua..niombee nipokee muujiza wangu wa ajira kama meneja wa ofisi ya kanda ya ziwa niliyoahidiwa Leo...nami nikayatangaze matendo yako makuu dunia ikufahamu na likuomba.

    JibuFuta
  31. Eewe Mt Anthony wa padua nisaidie kuniombea kwa mwenyenzi Mungu ( mzingo wa filter ) nilizo tuma niweze kulipwa pesa yote, na (kiwanja nilio zurumiwa) niweze kurudishiwa pesa yangu,amin

    JibuFuta
  32. Mtakakatifu anthony wa padua naombaa unisaidiee nionee nilipo weka vyeti vyangu

    JibuFuta
  33. Naomba unsaidie niweze kulipwa pesa zangu za korosho.pia naomba umponye mjukuu wangu Alex .na umponye na mume wangu irambe .kisukari na macho

    JibuFuta
  34. Ingiza maoni yako...Ee Mt Antony wa padua nakushukuru kwa miujiza yote unayonifanyia Amina

    JibuFuta
  35. Ingiza maoni yako...Ee Mt Antony wa padua naomba nipate mtu ambaye ana shida aniuzie kiwanja maeneo ya kitunda karibu na kazini niweeshe pia nipate pesa nyingi nijenge nyumba yangu naomba maombi yangu uyafikishe kwa mtoto yesu na ufanyike muujiza ambao kupitia muujiza nitaendelea kutangaza miujiza yako mbele za macho ya wanadam amina

    JibuFuta
  36. Ingiza maoni yako...Mt Anton wa Padua naomba usiku huu nipate pesa nimnunulie mwanangu viatu vya shule Amen

    JibuFuta
  37. Ingiza maoni yako...ee mt atony padua naomba yale yote ninayokuomba yakafanyike kwa muujiza usiku wa leo na wiki hii Amen

    JibuFuta
  38. Ingiza maoni yako...ee mt atony padua naomba yale yote ninayokuomba yakafanyike kwa muujiza usiku wa leo na wiki hii Amen

    JibuFuta
  39. Ingiza maoni yako...Nakushukuru Mt Antony wa Padua kwa miujiza unayonitendea naomba uendelee kunibariki mimi na watoto wangu nipate riziki za kuwahudumia Amina

    JibuFuta
  40. Ingiza maoni yako...Mt Antony wa padua nakushukuru kwa maombezi yako ya kuniombea kwa mtoto yesu endelea kunitendea miujiza kadiri ya maombezi yangu ninayokuomba kila siku ambaye naona miujiza yake Amen

    JibuFuta
  41. Mt Antony wa padua wewe ni kimbilio la shida zetu na muombezi wa yote tunayokuomba kwa mtoto Yesu naimba uendelee kunifanyia miujiza kwa ysle maombi yote ninayokuomba unifanyie Anina

    JibuFuta
  42. ee mt anton wa padua naendelea kushukuru kiimani kwa miujiza mikubwa unayinitendea naomba yale maombi yote ninayokuomba kupitia kwa rafiki yako mprndwa mtoto yesu anaenda kuzaliwa katika kipindi hiki cha majiliobyakaoate baraka na kibali miujiza hiyi ikapate kutimia Amina

    JibuFuta
  43. Mtakatifu Antony wa Padua nina mapito mengi na magumu sana naomba unisaidie niweze kupita katika pito hili gumu ambalo linaumiza na kusononesha nafsi yangu. Ninajua wewe kupitia kwa mungu wetu Yesu kristo naamini pito hili litapita. Naomba sana sana maombi yangu yawafikie nikiamini maombi yangu yatajibiwa. Amina

    JibuFuta
    Majibu
    1. Mtakatifu Antony, nakuomba unisaidie kuyapita mapito yanayoniandama na kunisononesha sana. nakuomba utujalie upendo na kujaliana na wafanyakazi wenzangu ili tuweze kufanya kazi kwa umoja na upendo ustawi. Amina

      Futa
  44. Mtakatifu Antony wa Padua...Nina mapito mengi na mazito...naomba kwa utii na unyenyekevu niweze kupata pesa zangu nilizopoteza ..Naamini maombi yangu yatajibiwa...Amina

    JibuFuta
  45. Ee mt. Anthony wa padua naomba uniombee kwa Yesu Kristu magumu yote niliyonayo ambayo nakuomba katika novena hii. Uniinue, unisaidie katika mwaka. Naamini Mungu ataniinua katika safari yangu. Amina

    JibuFuta
  46. Nakusifu nakuheshimu nakuomba mt.Anton wa Padua unirudishie milioni kumi ambazo nataka kuzurumiwa na mtu ninaefanya nae bihashara,naomba kwa jina la Yesu Kristu wa Nazareti mwana wa Mungu aliye hai.

    JibuFuta
    Majibu
    1. Nakusifu nakuheshimu nakuomba mt.Antoni wa Padua unirudishie milioni kumi ambazo nataka kuzurumiwa na mtu ninaefanya nae bihashara,naomba kwa jina la Yesu Kristu wa Nazareti mwana wa Mungu aliye hai.Amina

      Futa
  47. Ee mtakatifu wa padua nakuomba urudishe furaha ya dadaangu sabrina na usaidie afya ya mtoto wake parlyn iwenzuri na apone kabisa amen

    JibuFuta
  48. Eek mtakatifu wa Padua nakuomba unioneshe el yang ilipo iweka amen

    JibuFuta
  49. Ee mtakatifu Padua nakuomba unisaidie kufanikisha ndoto yang au talent yang nipate kazi niwez kufanikisha ndoto yang man we nikimbilio letu na ulinde family zangu upon na mdogo wang ezekieli amen

    JibuFuta
  50. Mt Anthony tuepushe na janga la gonjwa hili la corona

    JibuFuta
  51. Mt. Antony nisaidie kunikumbusha yale yote yaliyo sahihi katika interview yangu ya nafasi ya kazi nlioomba niweze fanya vizuri na kuipata nafasi hiyo ya kazi na hatimaye nilihudumie kanisa lako

    JibuFuta
  52. Ee mtakatifu anton wa padua naendelea kumshukuru Yesu mfufuka kwa kunionekania na kunitoa pepo la ulevi naomba yale maombi yote niliyoomba mwezi huu nikafanyiziwe Amina

    JibuFuta
  53. Maombi yangu yote yakatimie AMEN

    JibuFuta
  54. Niseme nini antony wa padua, sina la kusema baba zaidi ya asante kwa jinsi ulivyodhihirika kayika maisha yangu nilikuomba sana antony na mwaka huu umejidhihirisha nasema asante, nawakumbusha pia ata wengine unapo omba pia weka na ahadi mbele za mungu , mungu akawii wala ahelewi wakati unapofika hujibu mimi nimemuomba tangu mwaka juzi na sasa nimepokea nilichikuwa naitaji na ahadi yangu niliyoiyaidi nakwenda kuitimiza mbele za mungu, ndg tuombe bila kukata tamaa

    JibuFuta
  55. Mt Antony wa Padua naomba unisaidie niweze kupata yote niyaombayo na pia naomba nipate kibali cha kukubalika kila mahali na kila ninachogusa na kukifanya kikafanikiwe na kustawi

    JibuFuta
  56. Mt Antony wa Padua naomba unisaidie niolewe natamani kuwa na familia sasa

    JibuFuta
  57. Mt. Antony wa Padua naomba baraka katika kazi ya mikono yangu baraka katika ndoa yangu...niwe mtu wa kujitoa kwa wahitaji katika mafanikio utakayo nipa

    JibuFuta
  58. We my Antoni wa Padua nikumbushe namba ya Siri ya faili langu muhimu nimesahau nisaidie hima nakutegemea wewe

    JibuFuta
  59. Mtakatifu Antoni naomba unijalie nipate Kibati cha kukubalika kwa chochote nikifanyacho kwa manufaa ya nchi na kanisa lako amina

    JibuFuta
  60. Ee mtakatifu Antony wa padua nijalie afya njema na bidii darasan

    JibuFuta
  61. Ee mtakatifu Anton wa Padua ninakuomba ukanifanyie muujiza nipate pesa za ada za watoto wangu tano na pesa ya kumtunza mtoto wangu mdogo wa sita,naamini nitapita muujiza wangu kwa jina la Yesu lipitalo majina yote na muujiza wang naupata mwezi huu wa sita AMEN

    JibuFuta
  62. Ee mt Anton wa Padua nakushukuru kwa miujiza yote ambayo Mungu amenitendea AMEN

    JibuFuta
  63. Ee mt.Anton wa Padua nakuomba unisaidie kumrudisha yule mwizi alochukua vitu vyangu ndani ya nyumba na kunifanya mimi na watoto wangu na familia yote tuhadhirike,nakuomba unisaidie virudi ili nipate pumziko la moyo maana ninasononeka sana,nina imani utanisaidia, niombee kwa Yesu mfufuka anisaidie naadhirika sana Amina.

    JibuFuta
  64. Nina Imani utanisaidia Mt.Anton naumia sana moyoni sina kitu chochote sasa vitu muhimu vyote kachukua,arudishe vyeti vyangu vitambulisho vya kazi,nguo za wanangu na za kwangu, asset zote,vitu vyote vya thamani vya nyumba yote arudishe.

    JibuFuta
  65. Mt Antony wa Padua niombee nami nipate pesa zilizopotea nami nitasimulia makuu ya Mungu amina

    JibuFuta
  66. Eeh Mtakatifu Anthony wa Padua, naomba uturejeshee Amani, Upendo, Afya njema na mafanikio katika familia yetu. Pia ukaingie mioyoni mwetu hasa watoto wetu wawe na hofu ya Mungu, kumjua na kupenda kumtumikia Mungu. Ukamtulize mtoto wetu na umrudishe nyumbani salama na ukafunge mizimu ama kama kuna laana za kurithi ndani yake zikashindwe na nitafungia mizimu yote ndani ya Moto wa Jehenamu mpaka siku ya mwisho ya hukumu yako. Napokeo yote Kwa jina la Yesu Kristu...Amina!

    JibuFuta
  67. Mtakatifu Antony nakuomba uniombee kwa Mungu uamponye mwanangu Deogratias, pia kea maombezi yako nisaidie nipate kazi.

    JibuFuta
  68. Ee Mt. Antony naomba uniombee kwa Mungu anirejeshee pesa iliyopotea na afya njema kwa kutuponya magonjwa yatusumbuayo mimi na watoto wangu. Amina.

    JibuFuta
  69. Eee mtakatifu Antony ninaomba unijalie niweze kupata kazi ambayo nimeiomba hivi karibuni Amen.

    JibuFuta
  70. Eee mtakatifu Antony ninaomba mchumba wangu Loveness aweze kupata nafuu
    na kupona haraka kwa maradhi yanayomsumbua Amen

    JibuFuta
  71. Ewe Mt. Anthony wa Padua. Naomba unisaidie niweze kupata cheti changu cha Masters na kadi yangu ya NHIF.

    JibuFuta
  72. Mtakatifu Antoni wa Padua nisaidie kutafuta vyeti vyangu vya form four vilivyo potea nisadie nivipate niombee kwa mtoto Yesu huruma ilivipatikane wazazi wangu na Mimi pia tuwe na Amani. Amina

    JibuFuta
  73. Nina ahidi kukushukuru na kusimulia makuu yako nisadie nivipate vyeti.Amina

    JibuFuta
  74. Kwa maombezi yako ee mt.Anton wa padua naomba ukarejeshe afya yangu nikaweze kupona kabisa mguu wangu unaonisumbua na vidonda vya tumbo naamin Mungu wetu ni mwaminifu atanitendea sawasawa na mapenzi yake .amina

    JibuFuta
  75. Ee Mt.Anthony wa Pedua nakushukuru sana kwa Baraka zako ktk Maisha yangu.Kweli nimeuona mkono wa Mungu.Endelea kunijalia mafanikio ya afya na baraka na niwakumbuke wahitaji kwa baraka ninazo pokea.Amina.

    JibuFuta
  76. Ee Mungu kwa maombezi ya Mt.Anthony wa Padua naomba unisaidie kupata nguo zangu zilizopotea .

    JibuFuta
  77. Ee Mungu kwa maombezi ya Mt. Anthony was Padua naomba unisaidie nifaulu mitihani yang, na pia nipate ela ya Kodi kabla ya tarehe 27

    JibuFuta
  78. We Mungu kwa maombezi ya Mt. Anthony wa Padua naomba unisaidie nipate ela ambayo ni 2.7m, ili niwasaidie marafik zangu kweny ulipaji wa Ada, naomb miujiz yak kabla ya jumatatu, na ela ya Kodi imaliziwe kabla ya tarehe 14.

    JibuFuta
  79. Ee Mungu nakuomba unikumbuke katika shinda zangu zote kupitia maombezi ya Mt. Anthony wa Padua, kupitia kwa mwanao Yesu Kristu.

    JibuFuta
  80. Ee mtakatifu Antony wa padua ni miujiza mingi umenitendea kupitia maombi yangu mbalimbali ninayokuomba ,,naomba nikalipwe madeni yote ambayo yanafanyiwa uhakiki mwaka wa fedha 2018/2019 kwa imani ninaenda kupokea muujiza wangu na,wote wanaokuomba kupitia mtoto Yesu Amina

    JibuFuta
  81. Ee mt Antony wa padua naommba kwa unyenyekevu mkubwa kila lilo dai langu la haki nikapate kibali cha kulipwa ,mwezi ujao wa kumi ukawe muujiza na kibali kikapatwe kutolewa na kwa damu ya Yesu ,,muujiza unaenda kunionekania na pesa hiyo nitajenga nyumba yangu hapa kitunda Dar na damu ya Yesu itaenda kuifunika nyumba hiyo na kila hila za sihitaji,ibilisi,,wafitini na wachawi na kwa jina la Yesu jina lipitalo majina yote ninaenda kupokea muujiza wangu kiuchumi ,napokea kwa jina la Yesu ,napokea kibali cha uchumi wangu kuimarika mwezi huu wa kumi ,,na kila baraka za afya,kiuchumi zitanizunguka siku zote za maisha yangu na wanangu nawaombea kibali cha kuwa vichwa na siyo mapooza wala kuwa mkia nawaombea wanangu saba kibali cha hekima ,akili na uchaji na kubarikiwa wakampendeze Mungu na wanadamu,nawafunika kwa damu ya Yesu ,,nawakinga na moto wa roho mtakatifu mt Antony wa padua utuombee AMEN

    JibuFuta
  82. Ee mtakatifu antony wa padua naomba ulinzi kwa wanangu saba ,Doreen,screen,omega,Frank,angel,derick,raymond,Daniel,na Elizabeth,,naomba ulinzi wa damu ya Yesu uwakinge na kila pepo wabaya,mapooza,umaskini,mizimu ya mababu,roho za uzinzi,ukahaba ulevi,uvivu,nawaombea kibali chakuwa vichwa na wasiwe mkia nawafunika kwa damu yayesu

    JibuFuta
  83. Ee Mtakatifu antoni wa padua mwenye kuonea huruma watu wanateseka ninakuomba unisaidie niweze kupata vitu vyangu vyote vilivyoibiwa . Mtakatifu Padua uliyependa kumbeba mtoto Yesu ninakuomba uniombee maana namtegemea Mungu pekeee sina mwingine maana unajua jinsi hivyo vitu vilivyo muhimu kwenye maisha yangu.ninaomba hayo kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristu,Amina

    JibuFuta
  84. Ee mtakatifu antoni wa padua, nisaidie niwa na maandalizi mazuri kwa ajili ya mitihani iliopo mbele yangu,ili niweze kufanya vizuri, ninaomba nakuamini, AMINA.

    JibuFuta
  85. Mtakatifu Anton nakuomba sana nisaidie nirudi kwenye biashara yangu pia fungua milango ya fedha kwa mwenzangu Rashid akafanikiwe katika mipango yake yote anayosubiri...Naomba na kushukuru katika jina la Yesu Kristo Amen.

    JibuFuta
  86. Mtakatifu Anton wa padua naomba uniombee kwa mtoto Yesu mwaka huu 2021 nikamiliki fedha na dhahabu pia niwe na afya njema mimi na familia yangu. Niondokane na umasikini kabisa.Naomba na kuamini katika jina la yesu.Amen

    JibuFuta
  87. Naomba nisaidie nipate kazi na poa mwenzangu Rashid alipwe pesa anazodai Uganda na hapa Tanzania.Amen

    JibuFuta
  88. Eww Mtakatifu Antoni wa padua naomba unisaidie niione funguo ya chumba cha rafiki angu niliyopoteza mchana huu!

    JibuFuta
    Majibu
    1. Asante sana Mtakatifu Antoni kwa kuwa nimeupata ufunguo wangu sasa!

      Futa
  89. Imani kubwa juu ya maombi ya sala yako ee mtakatifu Antony wa padua naomba nikuone kadi yangu ya benki

    JibuFuta
  90. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta
  91. Mtakatifu Antony wa Padua naomba kurudishwa kwa ardhi yet iliyochukuliwa na jumuiya ya wazazi chuo Cha ufundi Gera

    JibuFuta
  92. We Mtakatifu Antoni wa padudua nisaidie nipate Ajira katika vituo nilivyo omba na ambavyo sijaomba kazi mwezi huu wa Saba 2021.Amina.

    JibuFuta
  93. Eh Mtakatifu Antony wa Padua nisadie nishinde kesi ya kuonewa kudhulumiwa kiwanja changu. Amina

    JibuFuta
  94. Eeh Mtakatifu Anthony wa Padua naomba unisaidie niweze kupata cheti changu cha kuzaliwa na cheti changu cha form four. Amina

    JibuFuta
  95. Mt.Antony niombee kwa Bwana wetu Yesu Christo ulinzi wa Roho ,mwili na vitu katika familia yangu.mipango yote ya adui ishindwe.

    JibuFuta
  96. Mt. Antony niombee Mimi na familia yangu ili tuweze kuondokana na roho chafu zinazotufata na kutaka kutuangamiza tusifikie ahadi ya Mungu, pia utuombee tuishi kwa upendo Kati yetu na majirani zetu Amina

    JibuFuta
  97. Nisaidie niweze kuona fedha zangu zilizopotea/kuchukuliwa na mtu ambaye sijamtambua bado..naomba sana ee Mt.Anton usiache peke yangu lichukue ombi langu na ulifikishe kweli kwa Mungu aliye nguvu na msaada wetu daima.

    Jibu

    JibuFuta
  98. we mtakatifu Anton wa Padua nijalie ombi langu katika familia yangu nikiamini wewe hutenda miujiza mingi. Amin

    JibuFuta
  99. Eeeh mt. ANTONY WA PADUA, UNIOMBEE KWA YESU MWENYEWE NIWEZE KUPATA VITU VYOTE NILIVYOIBIWA NYUMBANI KWANGU USIKU VIKIWEMO SIMU NA KOMPUTER .LAKIN UMJALIE LEO MPENZI WANGU RENATUS AWEZE KUFANYA USAHILI WAKE VIZURI NA KUPATA AJIRA HIYO.

    JibuFuta
  100. Eh Mt. Anthony wa paunda ninaomba kupitia jina la Yesu kristo aliye hai ninaomba uniombee miujiza utendeka katika familia yangu ili fedha zote nilizodhurumiwa ziweze kurudi pia pesa zote zilizopotea katika biashara ziweze kurudi na uchumi wangu uweze kukua ili niweze kulipa madeni ya watu na nibaki salama amin

    JibuFuta
  101. Ehhe Mungu wangu, kupitia kwa mtakatifu wako , Anthony wa Padua naomba nipate daftari la mauzo la mteja wangu nililopoteza kwenye daladala la Nyasaka center jana usiku, kwani linamahesabu yake na wadeni wake ndani, naomba unisaidie nilipate Amen

    JibuFuta
  102. Mt. Antony wa padua nakuomba unipatie kibali kazini kwangu nipandishwe cheo kirahisi na naomba nilipwe msharaha wangu kirahisi na nipate mme mwema EE Mungu nisaidie kurejesha furaha yangu na upendo kwa ndugu zangu, familia na wengine naamini Mt. wa padua ananisaidia

    JibuFuta
  103. Ee Mtakatifu Anthony wa Padua nakuomba unisaidie kupata pikipiki yangu iliyoibiwa maana umewasaidia wengi katika mambo magumu na mimi naomba msaada wako.Amina

    JibuFuta

 
Top